Posts

Showing posts from December, 2017

Kumbukaaa

Image
Siku 🕜 🕐 🕑 Utakapokuwa Unatolewa Roho Yako 💗 💗 💗 Ndugu Zako Wako Pembeni Yako 👫 👪 👬 👭 Huyu Kakushika Mkono 💪 💪 Huyu Kakupakata Kichwa 💆 💆 Huyu Anakufuta Jasho Usoni 😥 😨 Huyu Kashika Kikombe Cha Uji ☕ ☕ Mama Yako Anachukua Uji Kukunywesha 👱 👰 Lakini Wapi 😭 😭 Unanyweshwa Uji, Uji Unarudi Na Kuchuruzika Chini 👎 👎 👎 Unaulizwa Tukupe Nini?? 💁 💁 Unajibu Nipeni Majii 🚰 🚰 Maji Yanaletwa Unanyweshwa, Lakini Waapi??? 😭 😭 Yanajaa Kinywani Kisha Yanarudii 👄 👅 Koo Limeshafungwa, Haliingizi Wala Halitoi Chochote 😷 😯 Mama Yako Anabubujikwa Na Machozi 😭 😭 Anashindwa Kujizuiya, Anakimbilia Nje Usimuone Anavyolia 🙈 🙈 🙉 Kila Unayemuangalia Humalizi Kumuangalia 👀 👀 Kwani Moyo Wako Unajua Zimebakia Sekunde Chache Tuu Hamtoonana Tena 🛂 🛂 Unawazaa 💭 💭 💭 Unakwenda Ugenini 🙅 🙅 🙇 🙇 Hakuna Baba Wala Mama 👳 👲 👱 Hakuna Mke, Watoto Wala Ndugu Yoyote Yule 👫 👪 👬 👭 Huna Fedha Wala Cha Kukusaidia Huko 💷 💵 💱 💰 # ZAID...