Kumbukaaa

No automatic alt text available.


Siku 🕜🕐🕑
Utakapokuwa Unatolewa Roho Yako 💗💗💗
Ndugu Zako Wako Pembeni Yako 👫👪👬👭
Huyu Kakushika Mkono 💪💪
Huyu Kakupakata Kichwa 💆💆
Huyu Anakufuta Jasho Usoni 😥😨
Huyu Kashika Kikombe Cha Uji
Mama Yako Anachukua Uji Kukunywesha👱👰
Lakini Wapi 😭😭
Unanyweshwa Uji, Uji Unarudi Na Kuchuruzika Chini👎👎👎
Unaulizwa Tukupe Nini??💁💁
Unajibu Nipeni Majii 🚰🚰
Maji Yanaletwa Unanyweshwa, Lakini Waapi???😭😭
Yanajaa Kinywani Kisha Yanarudii👄👅
Koo Limeshafungwa, Haliingizi Wala Halitoi Chochote😷😯
Mama Yako Anabubujikwa Na Machozi😭😭
Anashindwa Kujizuiya, Anakimbilia Nje Usimuone Anavyolia🙈🙈🙉
Kila Unayemuangalia Humalizi Kumuangalia 👀👀
Kwani Moyo Wako Unajua Zimebakia Sekunde Chache Tuu Hamtoonana Tena🛂🛂
Unawazaa 💭💭💭
Unakwenda Ugenini 🙅🙅🙇🙇
Hakuna Baba Wala Mama👳👲👱
Hakuna Mke, Watoto Wala Ndugu Yoyote Yule👫👪👬👭
Huna Fedha Wala Cha Kukusaidia Huko💷💵💱💰
#ZAIDI YA MATENDO YAKO
Ndipo Unapoomba Niitieni Baba Niitieni Mama,
Unatamani Uwaage Kwa Mara Ya Mwisho Lakini
Ohhhh 😭😭😭😭😭😭😭
Kinywa Kinakua Kizitoooo 👄👅
Ewee Mwaaadamu Kumbuka Siku Hiyo Wewe👉👉👉
Kipi Unachoringia Hivi Sasa
Ukifikiria Watoto Wako💭👪👪
Ukifikiria Mke/Mume Wako💭👬👫
Basi Chozi Linakuchuruzika Linafika Mpaka Mashavuni😭😭😭
#MWISHO WAKO UMEFIKAAA 👋👋
#WATOAJI ROHO WAMEFIKA👽👽👻👻
Mama Yako Anapiga Ukelele Kuwaita Madaktari 💉💊💉💊
Lakini Waaaapiii 😭😭😭😨😨
Madaktari Kukuona Tu Wanajua Huyu Tayari Hatupo Nae Tena Duniani🌍🌏🌎
#JIFIKIRIE MWANADAMU 💭💭💭
#Mali Zisikuhadae Ukamsahau Aliyekuumba💰💷💱💲
#Watoto Wasikufanye Ukajivunia Hii Dunia Ukajiona Utadumu Milele🌍🌏🌎
#Mume\Mke Asikupe Fakhari Ukaona Hapana Isipokua Yeye👫👬👭
IPO SIKU UTAVIACHA VYOTE HIVYO ,WALA HAPANA WA KULIZUIYA HILO💪💪💪
ADUI YETU SHETANI HALALI IWEJE SISI TUNALALA???? 😈💀👹👺👿👾
TUJIEPUSHE NA MACHAFU NA MAOVU
TUPATE SALAMA KWA MWENYEZI MUNGU

Comments