from Allah hana mshirika
WAKATI MMOJA ENZI ZA UTAWALA WA SAYYIDINA OMAR R.A ALIJIWA NA WATU WATATU WAKIWA WAMEMKAMATA KIJANA MMOJA.
Wakasema wale watu kumuambia sayyidina omar r.a
"Ewe kiongozi wetu tumemleta kijana huyu ili apate adhabu yake/kisasi kwani amemuua baba yetu."

Sayyidina omar r.a akamuuliza yule kijana kuwa ni kwa nn amemuua baba wa ndugu hao watatu.
Yule kijana akasema "mimi ni mchungaji ninachunga ngamia pmj na mbuzi,
Nilipokuwa machungani ngamia wangu mmoja akaingia ktk shamba la baba yao hawa na kula mti mmoja.
Baba yao alipoona ngamia amekula mti wake akachukua jiwe na kumpiga nalo ngamia wangu mpaka akamuua,
Mimi nilipomuona kamuua ngamia wangu sikukubali nami nikachukua jiwe lile lile na kumpiga nalo baba yao akafa."
Sayyidina omar r.a akamwambia yule kijana
"Hivyo ni lazima haki itende nawe ulipiziwe kama ulivyomuua baba yao hawa."
Yule kijana akasema "naomba mnipe nafasi kwa muda wa siku tatu kwani katika familia yetu tupo wawili tu,
Mimi pmj na mdogo wng baba yetu amekufa ametuachia hazina ya mali,
Kwa hivyo naombeni siku tatu hizo ili nikamuhifadhie mdogo wng mali hizo na nimuwekee maandalizi ya maisha yake kwa kuwa yeye bado mdogo."
Sayyidina omar r.a akamwambia yule kijana "ni nani atakae kudhamini?"
Yule kijana akaanza kutazama watu waliokuwa pale mmoja baada ya mmoja hatimae akamuashiria swahaba mmoja wa mtume s,a,w
Sayyidina omar r.a akamuuliza yule swahaba,
"Ewe Abaa dharr je unakubali kumdhamini kijana huyu?"
Abaa dharr akaitia "ndiyo ewe amiiril muuminiina ninakubari kumdhamini."
Sayyidina omar r.a akamwambia abaa dharr r.a
"Abaa dharr ww humjui kijana huyu ikiwa hatorudi adhabu yake utaibeba wewe."
Aba dharr akasema "mimi nina mdhamini ewe amiiril muuminiina."
Basi kijana yule akaruhusiwa aende kwa ahadi kuwa baada ya siku tatu arudi.
Ikapita siku ya kwanza ya pili na hatimae ikafikia siku ya tatu kijana yule ikawa bado hajarejea.
Watu wote wakawa wakimtazama abaa dharr kwa huruma.
Siku hiyo ya tatu jioni kabisa wakamuona mtu akija huku akikimbia kumbe alikuwa ni yule kijana.
Akafika pale kwa sayyidina omar r.a akiwa amechoka sana.
Akasema "ewe amiiril muuminiina nipo mikononi mwako sasa tekelezeni kisasi chenu."
Sayyidina omar r.a akapatwa na mshangao na kumuuliza yule kijana.
"Ni kipi kilichokufanya urejee kwani ulikuwa na uwezo wa kukimbia."
Yule kijana akasema "nimeogopea pasije pakasemwa kuwa uaminifu sasa umeondoka."
Sayyidina omar r.a akamgeukia abuu dharr na kumuuliza nae ni kwa nini alikubali kumdhamini na ilihali ata hamjui?
Abuu dharr r.a akasema "nimeogopea pasije pakasemwa kuwa huruma sasa imeondoka baina ya watu hawahurumiani."
Wale watu waliouliwa baba yao yakawachoma maneno hayo wakasema.
"Tumemsamehe huyo kijana."
Sayyidina omar r.a akawauliza ni kwa nini wamemsamehe?
Wakasema wale watu "tunaogopea pasije pakasemwa sasa usamehevu umeondoka watu hawasameheani tena."
Tuhurumiane,,,tusameheane kwani Sisi sote ni wakosefu hakuna mkamilifu kati yetu ila allah peke yake.
Usisahau kuwafikishia ndugu zetu elimu hii
#ZAMAZIMEBADILIKA #TUMCHEALLAH

Comments
Post a Comment