WASIOSWALI HAWATOISOMA SMS HII WATAIPOTEZEA ILA NAKUOMBA TUMIA JAPO DAKIKA MBILI KUSOMA HUU UJUMBE UTAFAIDIKA NA CHOCHOTE

Je,wajua unapotawadha kabla ya kulala,roho yako yenda kwa Allah na kusujudu.kisha Allah amweka malaika asimame kando ya kitanda chako na kila unapozunguka anakuombea maghfirah.kwa hio tawadha kabla ya kulala na pia upitishe ujumbe huu..inachkua dakika mbili tu
Subhanallah,
Sote twajua kuacha swala ni haram lakin hatuna ilm ya adhabu tutakayoipata...
Kwanini twazifuta message kuhusu dini ya kiislamu?na twazituma message za kawaida?
Mtume(SAW)amesema"wajulisheni watu kuhusu mm hata kama ni kwa Ayah moja"
Labda kuituma hii message kwa wengine itakufaa sku ya qiyama
Adhabu za mtu asiye swali
Mtume(SAW) amesema"anaepuuza swala,Allah amwadhibu kwa adhabu kumi na tano,
Adhabu Sita hapa duniani
Tatu anapokufa
Tatu kaburini
Tatu siku ya Qiyama
Adhabu sita za duniani ni
1.Allah amwondolea baraka kwenye maisha yake
2.Allah afuta khayrat za watu wema kwenye uso wake
3.Allah hakubali dua zake
4.atachukiwa na viumbe vyote duniani
5.Allah hampi thawab akifanya vitendo vema
6.hatoongezwa kwenye dua za watu wema
Adhabu anapokufa
1.yuwafa akidhalilishwa
2.yuwafa akiwa na njaa
3.yuwafa akiwa na kiu
Hata akinwa maji ya bahari zote bado hatokata kiu
Adhabu za kaburi
1.Allah alikaza kaburi lake mpaka kifua na mbavu zatangamana
2.Allah amrushia moto
3.Allah amwekea joka linalomtambaa na kumvunjavunja
Adhabu sku ya qiyama
1.ataburutwa uso ukiwa juu ya makaa moto mpaka kwenye moto wa jahannum
2.Allah atamwangalia kwa hasira mpaka nyama za uso wake zitaanguka
3.Allah atamhukumu bila huruma na kuamrisha atiwe motoni
Wasioswali swala za:
FAJR:
Nur ya uso wao huondolewa
DHUHR:
Baraka za mapato yao zaondolewa(hata akiwa na milioni bado ni maskini)
ASR:
Hawana nguvu kwenye miili yao
MAGHRIB:
Hawafaidiki kwa watoto wao
ISHA:
Hawapati amani wanapolala
Anaeskiza nyimbo wakati wa adhan hatoitamka shahada wakati anapokufa
Usipoieneza elimu,ni madhambi yako yanayokuzuia...kwa hio watumie wengine sote tufaidike in shaa Allah...ameen
Mtume(SAW) amesema,wacha kufanya kila kitu wakati kwaadhiniwa,hata kusoma quran,anaezungumza wakati wa adhan hatoitamka kalima anapokufa...
Allahuma inni ala dhikrika wa shukrika wa husni ibaadatik
Hii Dua yenye nguvu tumetumiwa
Fikiria watu 1000 wakiisoma kwa sababu yako.
Jazakallah
Share na wengine wafaidike kupitia wewe Allah atakulipa hapa duniani na kesho akhera NIWATAKIE CKU NJEMA
TUKUMBUKE KUA SWALA NI NGUZO YA DINI MWENYE KUISIMAMISHA AMESIMAMISHA DINI NA MWENYE KUIWACHA BAC AMEIVUNJA DINI

Comments
Post a Comment